TAZAMA PICHA ZA MAJAMBAZI WALIOUWAWA DAR ES SALAAM NA POLISI

Aliye lala kwenye picha hapo chini ni mmoja wapo wa majambazi aliye uwawa na polisi dar maeno ya mikocheni karibu na shule ya secondari FEZA.

Akitoa taarifa hiyo kamanda siro Alisema marehemu hao ni waliohusika katika tukio la kupora zaidi ya Sh milioni 26 katika makutano ya barabara ya Mandela na Nyerere, eneo la Tazara, Dar es Salaam.Bado taarifa rasmi ya polisi haijatoka  lakini imesisitiza taarifa rasmi itatoka leo.2

1

Advertisements