UTEUZI MPYA WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI JAN 21

anne-kilando

Born: January 9, 1956 (age 61), Tanganyika
Party: Chama Cha Mapinduz
Education: Teacher training college, Open University of Tanzania
 Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania amemteua  Anne kilango Malecela kua mbunge wa bunge la jamhuri waTanzania na kuhusu taratibu za kuapishwa kwake ataapishwa kwa mujibu wa taratibu za bunge zinavyo taka.
Imetolewa na
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

21 Januari, 2017

Advertisements