EDWARD LOWASSA ASEMA KAMA ATAKUA HAI 2020 BASI ATAGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA

Mjumbe wa kamati kuu chadema  Edward lowassa bado anaamini kuwa 2020 ataingia ikulu bila kizuizi chochote.Image result for EDWARD LOWASSA

akizungumza nyumbani kwa kada mwenzake James Limbeli mjini kahama  amewataka wananchi kujitokeza mwaka 2020 kumpigia kula kwani kama atakua hai bado atagombea urais kupitia vyama vinavyomuunga mkono UKAWA.

Hata ivo Lowassa amesema ameshindwa kuzungumza na wananchi wa kijiji hicho kwa kuhofia kukamatwa na polisi kama ambavyo alikamatwa  mjini Geita alipokua anaelekea kwenye kampeni za udiwani za mgombea wa chama chake.

by

mkonoupdates

 

 

 

Advertisements