INAHITAJI UVUMILIVU KUYATAZAMA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2016 KWA LEO.

LEO wanafunzi wengi na watu mbalimbali ambao wamekua wakitamani kuyaona matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2016 wengi wao wameshindwa kufanya hivyo kwa sababu ambazo hata wao hawazijui lakini mkonoupdates blog unazo sababu chache kwanini matokeo hayo hayafunguki kwenye website mbalimbali.

Image result for stress pictures

sio kwamba imeanza mwaka huu raha hasha hii ipo miaka yote na inatokana na

  • Watu wengi wanaotafuta matokeo hayo.
  • Mtandao wa simu au computer yako kua chini sana.

Kama na wewe ni mmoja wapo endelea kujaribu bila kukata tamaa kwani huenda ukabahatika kwa leo lakini ni ushauri wangu kama umechoka relax kwa sasa huku ukisubiri usiku hasa kuanzia saa sita hapa watu watakua wamepungua.

NOTE:blogs nyingi zimeweka link ya necta ambayo kutokana na wingi wa blog hizo na wasomaji wake inasababisha JAM kubwa ndani ya mtandao wa NECTA.

Advertisements