SELIKALI YAELEZA SABABU ZA KUTUMIA MAJENGO YA UDOM KWA BAADHI YA WIZARA ZAKE.

 Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama amesema chuo hicho kina majengo mengi ambayo bado hayatumiki.
Image result for udom
Ameyasema hayo mapema leo bungeni akijibu swali lililo ulizwa na mbunge Viti maalum Mhe.suzan lymo (chadema) aliyetaka kujua kwanini selikali imeamua kuhamishia ofisi zake na makazi kwenye majengo ya chuo kikuu dodoma.
Hata hivyo waziri huyo amezitaka wizara nyingine kuhamia dodoma na kuyatumia majengo ya chuo hicho kwani selikali ilijenga majengo mengi ambayo hata kwa sasa hayatumiki.
by
mkonoupdates.
Advertisements