BAADA YA JANA SIMBA KUPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA AZAM HUU NDO MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA.

Watani wao Yanga SC leo Jumapili January 29, 2017 wapo dimbani Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kucheza na Mwadui FC na ushindi kwao utawaweka kileleni.

Advertisements